ADVERTISE WITH US

Search results for kanye west
Kanye West Presidential Campaign Under Scrutiny , Claims Thousands Of Dollar Stollen In Fraud
Kanye West’s campaign committee said someone stole thousands of dollars from a campaign account in an act of “external fraud.”
Poldavy 5/25/2022 01:53:00 pm
Read more ...
John Legend alijaribu kumvuta Kanye West kutoka katikaAnguko linalo mkabili kisa kujihusisha na Siasa za Trump ila cha kusikitisha ni kwamba alishindwa.
BLOGMASTER 4/27/2018 04:21:00 pm
Read more ...
Kanye West na Kid Cudi Sasa Kuunda kundi la Rap liitwalo "Kids See Ghost"
Kanye West alitangaza kwenye Twitter kwamba albamu yake mpya itatoka Juni 1 na itakuwa na nyimbo saba. Hili sio tangazo kubwa pekee ambalo Kanye West aliweka kupitia Twitter wiki hii. Alitangaza pia kuwa Mwana lebo wake Kid Cudi atakuwa akiacha albamu mpya Juni 8 wiki moja baada ya kanye, kwa hivyo wazi, kwamba kulikuwa na uratibu fulani unaendelea kati ya wawili hao.
EDITOR 4/20/2018 07:49:00 am
Read more ...
Kanye West anakabiliwa na na anguko la kupoteza baadhi ya marafiki zake maarufu kama Rihanna na Kendrick Lamar. Tangu kwenda kwenye dhoruba yake ya tweet Jumatano, idadi ya mashabiki wameUnfollow ukurasa wa Kanye West kwenye Twitter na sasa watu Maarufu wanaanza kufanya hivyo.
JANNET AGUSTINE 4/27/2018 09:53:00 am
Read more ...
Kanye West na Kid Cudi sasa wanapiga filimu fupi kwa kundi lao, Kids See Ghost.
Kanye amekuwa akifanya kazi kwenye Twitter hivi karibuni akitaka maelezo juu ya Project yake ijayo ikiwa ni pamoja na albamu ya pamoja ambayo amekuwa akifanya kazi na Kid Cudi itakayotoka Juni 7.
Unknown 4/26/2018 07:09:00 am
Read more ...
Kanye West na Kid Cudi Waja na albamu yao mpya ya kihistoria Kids See Ghost. rapa hawa wawili toka G.O.O.D muziki wanashirikiana mara ya kwanza kwenye albamu kamili ya muda mrefu. Mradi umepokelewa vizuri kutoka kwa watu ambao walipata nafasi ya kuisikia mara ya kwanza.
Poldavy 6/09/2018 03:52:00 pm
Read more ...

Kanye West announces his 11th album Donda 2, and makes it clear that he does not play with streaming services taking up most of his money. A list of album songs is also now available.
BLOGMASTER 2/19/2022 03:01:00 pm
Read more ...
Kanye West atasimamia Production katika albamu mpya ya Nas itakayotoka Juni 15. Inaonekana Kanye amekuwa akifanya kazi ngumu katika studio kwa sababu hakuwa tu akizalisha albamu yake mwenyewe, lakini pia Nas, Pusha T, Teyana Taylor, na albamu hiyo ya pamoja na Kid Cudi itakayokuja Juni 7.
Poldavy 4/23/2018 11:13:00 am
Read more ...
Kanye West alipost picha ya Mtu aliyefanya upasuaji wa mama yake akisema kuwa itakuwa cover yake ya albamu. Jana usiku, G.O.O.D.  Muziki Rapa aliachia ngoma mbili za kushangaza zilizopo katia albamu yake mpya itakayotoka Juni 1.
EDITOR 4/29/2018 06:08:00 am
Read more ...

Poldavy255blog-zZVybckanye-west-donda-sports-aaron-donald-1200x675.jpg

 The Los Angeles Rams defensive tackle announced the partnership during a recent appearance on the I Am Athlete podcast and explained what attracted him to join Kanye’s budding sports empire.
Poldavy 5/30/2022 04:37:00 pm
Read more ...

 

Drake and Kanye West met again Monday night after nearly five years of feud. The two rappers met on Monday night and crushed their long beef, which led them to agree to perform together at a concert sometime in December.
Poldavy 11/17/2021 10:40:00 am
Read more ...
Young Thug anasema angekuwa rais bora zaidi kuliko Kanye West.


 Fikiria Thug na Kanye wakiwania urais mwaka wa 2020. Mwandishi wa "Good Times" alifanya mahojiano na Adam22 ambako alifungua juu ya mfululizo wa mada ikiwa ni pamoja na albamu yake ijayo na Lil Nas X akija kuwa ni mashoga.
Poldavy 7/15/2019 10:56:00 am
Read more ...

 

Kanye West's album was ranked 7th in the best Time of 2021 albums with the release completing the top 10 albums of the year. This project is especially important thanks to the contributions of reggae / dancehall stars Shenseea and Buju Banton.
Poldavy 12/17/2021 10:31:00 am
Read more ...

Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.. Beyonce ana moyo wa kusahame licha ya Kanye West kuongea maneno makali dhidi yake wakati wa show yake ya mwisho kabla ya kusitishwa kwa ziara ya Saint Pablo wiki hii.
nintchdbpict000284079911
Poldavy 11/25/2016 09:50:00 am
Read more ...
Rapa wa Marekani, Kanye West na mwimbaji maarufu, John Legend walipiga picha wakiwa wameonyesha kutabasamu katika baby shower ya mke wa John aitwae Chrissy Teigen.
Hii inakuja mara baada ya kutupiana maneno makali kupitia jukwaa la microblogging, Twitter, ambapo walikuwa wakitupiana nameno makali dhini ya POTUS wa sasa, Donald Trump.
Poldavy 4/28/2018 09:58:00 pm
Read more ...

DJ Khaled – GOD DID
 DJ Khaled is back with his latest or 13th studio album, ‘God Did’. The follow-up to last year’s Khaled Khaled features a stacked roster of guests, including Jay-Z and Lil Wayne

Poldavy 8/26/2022 05:58:00 pm
Read more ...
Imekuwa ikithibitishwa kuwa tweet ya Kanye West ya Pro-Trump haikumupa gharama zaidi ya wafuasi 9 milioni. Twitter wamesema sio kweli kuwa Kanye West alipoteza wafuasi milioni 9 ndani ya dakika za Kumwagia sifa Rais Donald Trump kwenye twitter.
EDITOR 4/26/2018 07:59:00 pm
Read more ...

 

50 Cent hints that he could give up rap music after his next album, declaring himself one of the 10 best rapper of all time.
BLOGMASTER 12/21/2021 11:44:00 am
Read more ...


The Recording Academy has reportedly nominated Kanye West for the 64th annual Grammy Awards to be released on April 3 this year.

BLOGMASTER 3/19/2022 05:07:00 pm
Read more ...

Kanye West is currently working on his new album and hip hop legend Rick Rubin is helping him put the project together.
There are no details available about the project except for a handful of people who Kanye is working with like Pusha T and Rick Rubin. The G.O.O.D. Music chief recently went off the grid in the mountain of Wyoming to find some inspiration for the album. Pusha T is also helping him find some inspiration for the project. Now we are learning that the Dej Jam Records co-founder is also lending Ye a helping hand.
The album will be the follow-up to Kanye West’s 2016 LP The Life of Pablo. That project saw massive success as a digital only release on TIDAL exclusively before making it’s way to Apple Music and Spotify. There are a lot of indications that Ye will release this new project as a digital only release, except he will likely release it across all streaming platforms.
Poldavy 6/01/2017 12:59:00 pm
Read more ...