![]() |
| Rapa wa Marekani, Kanye West na mwimbaji maarufu, John Legend walipiga picha wakiwa wameonyesha kutabasamu katika baby shower ya mke wa John aitwae Chrissy Teigen. |
Kanye West yeye ameonekana kuvutiwa na sera za Trump huku John Legend akiponda sera za Rais Trump na kufanya wawili hao kutupiana maneno makali kwenye kurasa zao kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.
Mashabiki
wa wasanii hao walidhani kuwa kutupiana kwa maneno kwa wasanii hao basi
hawawezi kula chungu kimoja La Hasha waili hao wamekutana tena Ijumaa
iliyopita kwenye Baby Shower ya mke wa John Legend, Chrissy Teigen.
Ambapo
wawili hao pamoja na wake zao walionekana wakiwa na furaha kana kama si
wale waliokuwa wakutupiana maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.
Rapa huyo alishea selfie yake na Legend katika baby shower ya Chrissy Teigen. Kanye pia alishea video ya John Legend akucheza wimbo wake wa "Ordinary People", na akaipa Caption ya "Lead With Love".
Kim Kardashian ambaye alishirikiana na mume wake kwenye baby shower, pia alishea video ya Kanye West kucheza wimbo mpya wa John Legend ...Angalia picha Alizoshea Kim-K kupitia Snapchat👻 hapo chini.Lead with love pic.twitter.com/tj2a9LFYKZ— KANYE WEST (@kanyewest) April 28, 2018







No comments:
Post a Comment