ADVERTISE WITH US

JOHN LEGEND ASHINDWA KUZUIA ANGUKO LA KANYE WEST

John Legend alijaribu kumvuta Kanye West kutoka katikaAnguko linalo mkabili kisa kujihusisha na Siasa za Trump ila cha kusikitisha ni kwamba alishindwa.

Mwimbaji wa R & B aliwasiliana na Mheshimiwa West  juzi wakati wa tweet yake kuhusu kumpenda Donald Trump na chuki zake kwa Rais Obama. Amekuwa anakumbwa na dhahma kibao kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na mashabiki wake wote na hata maarufu wenzake pia. John Legend aliandika ujumbe mfupi kwa Kanye West na kumtumia ujumbe wa maandishi kumwomba kurejea lakini kanye alivunga.
 Kanye West  aliweka skrinshoti ya ujumbe wa maandishi ambao Legend aliutuma kwake na majibu yake.
Legend aliandika yafuatayo katika ujumbe wa maandishi. “Hey it’s JL,” “I hope you’ll reconsider aligning yourself with Trump. You’re way too powerful and influential to endorse who he is and what he stands for. As you know, what you say really means something to your fans. They are loyal to you and respect your opinion.”
 Kanye West alijibu katika maandishi akisema “I love you John and I appreciate your thoughts. You bringing up my fans or my legacy is a tactic based on fear used to manipulate my free thought.”

“I love that great, brilliant artists have the power to imagine a better future. But artists can’t be blind to the truth,” John Legend aliandika kwenye Twitter. “I imagine there’s some comfort in imagining a future without racism and projecting that onto the present. Thinking if we just deny the truth, it doesn’t exist. If history is erased, we don’t have to deal with its consequences. However.” “I really appreciate this dialogue with John Legend because I’m actually very empathetic. I’m still the kid from the telethon. I feel when people think of MAGA they don’t think of empathy,” Kanye alisema kupitia Twitter mda mchache uliopita.

No comments: