![]() |
Cover la albamu hii ni picha ya utoto wa "Diamond Platnumz", Tandale ni moja kati ya kata za wilaya ya Kinondoni Mkoani wa Dar es Salaam nchini Tanzania na kwamba hutokea ambapo "Diamond Platnumz" amekuwa juu, na hawezi sahau atokapo mpaka kuwa nyota alivyo leo.
Album ya ‘A Boy From Tandale’ IKO na nyimbo 18, ambapo zaidi ya wasanii 13 kutoka Tanzania, Nigeria na Marekani watasikika kwenye album hiyo.
Wasanii hao ni Vanessa Mdee, P-Square, Mr Flavour, Young Killer, Tiwa Savage, Rayvanny, Davido, Jah Prayzer wengine ni Miri Ben-Ari, Omarion, Rick Ross, Ne-Yo na Morgan Heritage wote kutoka Marekani.
3/19/2018 05:40:00 pm
Read more ...

















