ADVERTISE WITH US

Search results for Diamond platnumz

Cover la albamu hii ni picha ya utoto wa "Diamond Platnumz", Tandale ni  moja kati ya kata za  wilaya ya Kinondoni Mkoani wa Dar es Salaam nchini Tanzania na kwamba hutokea ambapo "Diamond Platnumz" amekuwa juu, na hawezi sahau atokapo  mpaka  kuwa nyota alivyo leo.

Album ya ‘A Boy From Tandale’ IKO na nyimbo  18, ambapo zaidi ya wasanii 13 kutoka Tanzania, Nigeria na Marekani watasikika kwenye album hiyo.

Wasanii hao ni Vanessa Mdee, P-Square, Mr Flavour, Young Killer, Tiwa Savage, Rayvanny, Davido, Jah Prayzer wengine ni Miri Ben-Ari,  Omarion, Rick Ross, Ne-Yo na Morgan Heritage wote kutoka Marekani.
Poldavy 3/19/2018 05:40:00 pm
Read more ...

 

FOA

Artist Performs well on TZ and abroad Tanzania WCB Wasafi Leader, Nasibu Abdul Juma Issack, popularly known as artist Diamond Platnumz a.k.a Simba,yesterday he released his long-awaited EP titled "First Of All" #FOA

ANALYZER 3/11/2022 03:02:00 pm
Read more ...

Diamond and Adenkule
Talented Tanzanian singer Diamond Platnumz drops another brand new interesting  music video titled “Sona” featuring Nigeria's Adekunle Gold.   
ANALYZER 5/08/2022 10:12:00 am
Read more ...
 Msanii Diamond akiongea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es alaam (katikati) ni Sealouise Shayo, Meneja wa Chapa ya Coca-Cola nchini (kulia) ni Meneja wake Sallam SK.
EDITOR 4/26/2018 11:17:00 am
Read more ...
Kumekua na Trending story kuhusiana na Kolabo ya pamoja kati ya omarion na Diamond platnumz wadau ama mashabiki wa muziki wa msanii diamond walicomment hisia zao kuhusiana na picha hyo ktk mtandao wa Instagram 
Poldavy 10/29/2017 04:21:00 pm
Read more ...

The much-awaited Series for African Music has released the official trailer for the African reality show, "Young, Famous & African".
BLOGMASTER 2/15/2022 09:50:00 am
Read more ...


 

On the eve of the 2021 Edition of the Tanzania Music Awards was held at the Julius Kambarage Nyerere International Hall, Dar Es Salaam, on April 2, 2022.

BLOGMASTER 4/03/2022 10:50:00 am
Read more ...

Image may contain: 2 people, people standing


Image may contain: 3 people, people smiling, people standing and shoes
Mwanamuziki Diamond Platnumz, ameonekana akifanya wimbo wake mpya na mwanamuziki wa kimarekani Omarion. Picha zilizopo Instagram zinadhihirisha Kolabo hilo la kimataifa.

Bofya Video hapa chini kutazama sehemeu ya wimbo huo
                   
Poldavy 10/29/2017 11:05:00 am
Read more ...
NEW Audio:Diamond Platnumz ft Young Killer – Pamela | Download
JANNET AGUSTINE 3/01/2018 04:47:00 pm
Read more ...
Baada ya kubreak the internet na wimbo wao wa "Bado", Sasa Kwa mara nyingine tena Harmonize ameshirikisha Diamond Platnumz katika ngoma yake mpya inayokwenda Kwa jina la "Kwangwaru", ngoma imefanyika Wasafi Records Chini ya Production ya producer Laizer.
Unknown 3/29/2018 04:11:00 pm
Read more ...

Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz anatupa kideo kipya kiendacho  kwa jina la "African Beauty" (Kionji) akiwa na mwimbaji wa Marekani, Omarion.A metoa video mbili yaani Kwa wazee wa clean na kwa wazee wa Dirty Version
Poldavy 3/17/2018 05:58:00 pm
Read more ...
Diamond Platnumz has finally dropped his new song featuring American hip hop star Rick Ross. Fans were eagerly waiting for the new jam as it was supposed to be released on December 1st.
Poldavy 12/10/2017 09:28:00 am
Read more ...
Tokeo la picha la watsup awards 2016

Usiku wa Disemba 28, 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.

Diamond Platnumz
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.
Alikiba
Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016, kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.
HarmonizeList ya washindi wote 22 waliyotangazwa
Best Newcomer Video of the Year
Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)

Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana

Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria

Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali

Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi

Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea

Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania

Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania

Best African Male Video
Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania

Best African Female Video
Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal

Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire

Best International Video
Beyonce – Formation (USA)

Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania

Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo

Best North Africa
Ibtissam Tiskat

Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready)

West Africa Video
DJ Arafat

Best African Video Director
Godfather Kidogo (Nigeria)

Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania

Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria

Viewer’s Choice Awards
Designer Panda (USA)

Poldavy 12/29/2016 03:00:00 pm
Read more ...

Bien said the show of realism was not natural and true apart from a few incidents, also Bien is not scandalous and not dramatic.

ANALYZER 3/25/2022 05:00:00 pm
Read more ...



Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards).
“It always seems impossible until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M’burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani 04|10|2014….. Asanteni sana sana…hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa,”ameandika msanii huyo kwenye Instagram.


Poldavy 10/07/2014 09:42:00 am
Read more ...
kokoro
Rich Mavoko na Diamond Platnumz wamezichezea sharubu za simba mkali aliyekuwa usingizini.

Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limehisi kuna udhalilishwaji wa wanawake kwenye video hiyo na limesema litatoa tamko lake iwapo litaifungia video hiyo au lah!
Poldavy 11/23/2016 08:26:00 pm
Read more ...

 

As organizers promise to reward two Afrobeats fans with $1000, ‘It’s getting closer is the popular saying on the lips of many who love and appreciate the Afrobeats Music Festival which will hold in Canada this year in August.

BLOGMASTER 6/06/2022 04:09:00 pm
Read more ...
Tokeo la picha la alikiba vs diamond platnumz

Mtangazaji maarufu wa Classic 105 ya nchini Kenya, Maina Kageni amefunguka kwa kusema kuwa kuna msanii mmoja wa Tanzania analipwa na mtandao wa simu milioni 20 kwa siku kutokana na nyimbo zake. Mtangazaji huyo amedai hawezi kumtaja msanii huyo lakini alibainisha ni kati ya Alikiba na Diamond. Alisema hakuna msanii mwingine wa Kenya au Tanzania anayelipwa pesa nyingi kama hizo kwa siku. 


source +Bongo5 TV 
Poldavy 10/23/2017 11:06:00 am
Read more ...
 
Harmonize ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘ Kwa Ngwaru’ ambayo ameshirikisha Diamond Platnumz, ngoma imefanyika Wasafi Records na producer Laizer wakati video imeongozwa na Kenny kutoka Zoom Production.
EDITOR 4/15/2018 01:59:00 pm
Read more ...


 This new EP  from Diamond Platnumz official DJ RJ the DJ has been executively produced by Trone, S2Kizzy and OSAN.

The EP has a total of 5 tracks and is largely recorded in Tanzania.

Poldavy 5/04/2022 12:56:00 pm
Read more ...