Baada ya kubreak the internet na wimbo wao wa "Bado", Sasa Kwa mara nyingine tena Harmonize ameshirikisha Diamond Platnumz katika ngoma yake mpya inayokwenda Kwa jina la "Kwangwaru", ngoma imefanyika Wasafi Records Chini ya Production ya producer Laizer.
No comments:
Post a Comment