![]() |
Cover la albamu hii ni picha ya utoto wa "Diamond Platnumz", Tandale ni moja kati ya kata za wilaya ya Kinondoni Mkoani wa Dar es Salaam nchini Tanzania na kwamba hutokea ambapo "Diamond Platnumz" amekuwa juu, na hawezi sahau atokapo mpaka kuwa nyota alivyo leo.
Album ya ‘A Boy From Tandale’ IKO na nyimbo 18, ambapo zaidi ya wasanii 13 kutoka Tanzania, Nigeria na Marekani watasikika kwenye album hiyo.
Wasanii hao ni Vanessa Mdee, P-Square, Mr Flavour, Young Killer, Tiwa Savage, Rayvanny, Davido, Jah Prayzer wengine ni Miri Ben-Ari, Omarion, Rick Ross, Ne-Yo na Morgan Heritage wote kutoka Marekani.Diamond Platnumz The Boy From Tandale – Full Album
Diamond Platnumz – NIKUONEDiamond Platnumz – Baikoko
Diamond Platnumz Ft Miri Ben Ari – Baila
Diamond Platnumz Ft. Young Killer – Pamela
Diamond Platnumz Ft. Omarion – African Beauty
Diamond Platnumz Ft. Omarion – African Beauty
Diamond Platnumz Ft. Vanessa Mdee – Far Away
Diamond Platnumz (feat. Rick Ross) - WAKAWAKA
Diamond Platnumz (feat. Ne-Yo) - Marry You
Number One (feat. Davido) [Remix]
Nana (feat. Flavour)
Kidogo (feat. P-Square)




No comments:
Post a Comment