ADVERTISE WITH US

Search results for davido


 

Popcaan appeared unexpectedly at the Davido show in London on Saturday night.

BLOGMASTER 3/07/2022 10:18:00 am
Read more ...

Davido getting ready to enter the studio with Koffee after being praised by a Grammy-winning dancehall star.

In the second episode of 1Xtra’s Influence with Koffee, the Grammy Award-winning singer highlighted her love for afroat music and shared her passion for Nigerian superstar Davido.
BLOGMASTER 11/23/2021 11:15:00 am
Read more ...
2017 ilikuwa ni mwaka mzuri kwa muziki wa Nigeria bila shaka na mwaka mkuu hata kwa wasanii wachache ambao walileta kwenye mchezo wao  wakupeana support kwa kweli walishambulia airwaves.
Poldavy 12/28/2017 07:23:00 am
Read more ...
Baada ya miezi ya orodha fupi ya maingilio yaliyowasilishwa na Afrika mashariki tupo naVanessa Mdee pamoja na Sauti sol katika kipengele cha AFRICA NON-NIGERIAN AWARD CATEGORY FOR AN INDIVIDUAL AFRICAN ARTISTE OR GROUP WITH THE MOST OUTSTANDING ACHIEVEMENT, IMPACT AND INFILTRATION INTO THE NIGERIAN MUSIC SCENE IN THE YEAR UNDER REVIEW (msanii bora ambaye sio Mnigeria lakini anaushawishi katika soko la muziki nchini Nigeria).pia wapo kipengele kimoja na  Sarkodie(Ghana), Casper Nyovest(South Africa), Nasty C(South Africa).
Unknown 4/14/2018 01:25:00 pm
Read more ...
Wizkid & Davido Nominated In The Same Categories at  Bag Sub-Regional Award

Two Talented and multiple award-winning artists Davido and Wizkid, alongside other artists such as Sarkodie and Stonebwoy, have received nominations

Poldavy 6/02/2022 09:57:00 am
Read more ...
Mkurugenzi wa DMW Davido ametoa ngoma mpya ya mapenzi iitwayo Assurance  ambayo ameamua kuidedicate kwa mpenzi wake, Chioma Avril. Rekodi ilitolewa leo kusherehekea kuzaliwa kwa Chioma,  na Davido akiahidi kumpa siku bora zaidi.
Unknown 4/30/2018 01:01:00 pm
Read more ...
Headies 2018 Winners: Headies Awards are here! and we are here to serve you and reward you as the winners were announced.


JANNET AGUSTINE 5/06/2018 03:56:00 pm
Read more ...
Tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) zinafanyika leo November, 12 huko London. Katika kipengele cha Msanii Bora Wa Kimataifa Kutoka Afrika amechukua Davido kutoka Nigeria mwaka huu na kutanganzwa na MTVBase Kama mshindi.
Poldavy 11/13/2017 12:22:00 am
Read more ...

_____RAGE RECORDS____*
*WANAKULETEA*
*ROTATE MIXTAPE VOL.1 2018*
*MIXED BY*
*DJ STARKID*
*INTRO BY MERITY(Sabi boy) X RAGE RECORDS*
*ORODHA YA NGOMA ZOTE ZILIZOPO KATIKA MIXTAPE HII*
Unknown 3/01/2018 06:04:00 am
Read more ...
TAZAMA KICHUPA CHA CASSPER NYOVEST ft DAVIDO – Check On You
JANNET AGUSTINE 3/04/2018 02:26:00 pm
Read more ...

 

Koffee is a big fan of Beenie Man, Migos, and Creep Chromatic.

What’s not to like about Coffee? The artist, whose real name is Mikayla Simpson, has already announced the date of her highly anticipated album "Gifted." He recently sat down and shared his list of masters who he dreams of working with from a variety of genres.
Poldavy 2/11/2022 03:50:00 pm
Read more ...
Bofya Download button kupata Ngoma hii toka kwa Davido Mzigo Unajulikana kama All Of You 
Poldavy 3/03/2018 05:37:00 pm
Read more ...



Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards).
“It always seems impossible until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M’burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani 04|10|2014….. Asanteni sana sana…hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa,”ameandika msanii huyo kwenye Instagram.


Poldavy 10/07/2014 09:42:00 am
Read more ...

Cover la albamu hii ni picha ya utoto wa "Diamond Platnumz", Tandale ni  moja kati ya kata za  wilaya ya Kinondoni Mkoani wa Dar es Salaam nchini Tanzania na kwamba hutokea ambapo "Diamond Platnumz" amekuwa juu, na hawezi sahau atokapo  mpaka  kuwa nyota alivyo leo.

Album ya ‘A Boy From Tandale’ IKO na nyimbo  18, ambapo zaidi ya wasanii 13 kutoka Tanzania, Nigeria na Marekani watasikika kwenye album hiyo.

Wasanii hao ni Vanessa Mdee, P-Square, Mr Flavour, Young Killer, Tiwa Savage, Rayvanny, Davido, Jah Prayzer wengine ni Miri Ben-Ari,  Omarion, Rick Ross, Ne-Yo na Morgan Heritage wote kutoka Marekani.
Poldavy 3/19/2018 05:40:00 pm
Read more ...

Kituo cha BET tayari kimetangaza majina ya wasanii watakaowania Tuzo za BET 2018 kutoka Afrika katika kipengele cha Best International Act.

Katika kipengele hicho majina matano ya wasanii watakaowania tuzo hizo kutoka Afrika hakuna jina la msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki.

EDITOR 5/19/2018 01:50:00 pm
Read more ...

Patoranking

Nigeria's reggae-dancehall singer, Patoranking, has been selected to perform at the 2022 FIFA World Cup scheduled to kick off on November 20 in Qatar.
ANALYZER 10/25/2022 01:32:00 pm
Read more ...


AFROBEATS producer, entrepreneur, and Mavin Records founder, Don Jazzy, has expressed excitement over the berth of his new radio show On Apple music 1.

BLOGMASTER 6/05/2022 02:07:00 pm
Read more ...

 

africa unite album 2023

Bob Marley's highly anticipated posthumous album, "Africa Unite," has been released, featuring a tribute to the reggae legend and showcasing Africa's finest talents, including Tiwa Savage, Ami Faku, Afro B, Teni, Davido, Ayra Starr, Patoranking, and Oxlade.
Poldavy 8/06/2023 09:18:00 am
Read more ...


 The National Arts Council (BASATA), the organizers of the prestigious awards, has finally released a list of nominees for this year's awards.
Poldavy 3/20/2022 10:34:00 am
Read more ...


 

On the eve of the 2021 Edition of the Tanzania Music Awards was held at the Julius Kambarage Nyerere International Hall, Dar Es Salaam, on April 2, 2022.

BLOGMASTER 4/03/2022 10:50:00 am
Read more ...