Mkurugenzi wa DMW Davido ametoa ngoma mpya ya mapenzi iitwayo Assurance ambayo ameamua kuidedicate kwa mpenzi wake, Chioma Avril. Rekodi ilitolewa leo kusherehekea kuzaliwa kwa Chioma, na Davido akiahidi kumpa siku bora zaidi.
Rekodi hii inahisiwa kuwa moja ya nyimbo za albamu ya Davido.
ingawa bado haijatangazwa, tutakuweka updated juu ya maendeleo ya albamu hiyo ya OBO hivi karibuni.
mashairi tuliyoyanasa yanasema
“I am looking for a sister, Chioma my lover o… She get the dollar, she dey wear designer o. I am looking for my sister, Chioma my lover o, She get the dollar, Chioma my lover. She say give me Assurance, Assurance, I give my baby Assurance, I give my baby Lifetime insurance Yeah”
Sikiliza na kupakua Assurance ya Davido kupitia download button hapo chini au pata kupitia Itunes : -

No comments:
Post a Comment