Tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) zinafanyika leo November, 12 huko London. Katika kipengele cha Msanii Bora Wa Kimataifa Kutoka Afrika amechukua Davido kutoka Nigeria mwaka huu na kutanganzwa na MTVBase Kama mshindi.
Tuzo hiyo ilikua inashindaniwa na Wizkid. Nyashinski. Nasty C. C4 Pedro. Babes Wodumo na Davido.
Tuzo hiyo alishinda Alikiba mwaka jana na kuipokea baadae baada ya kutangazwa wizkid kama mshindi. Kosa hilo nadhani MTV mwaka huu watakua wamejipanga ili wasilete utata kama ilivyotokea 2016.





No comments:
Post a Comment