ADVERTISE WITH US

Search results for minaj
Nicki Minaj and Eminem took to Twitter to claim they were lovers. On Friday, a fan asked Nicki Minaj on Instagram if she was Eminem's girlfriend
EDITOR 5/26/2018 04:10:00 pm
Read more ...

vote mtv awards 2022
MTV EMAs are awards presented by Paramount International Networks to recognize artists and songs in pop culture. The annual display ceremony includes performances by well-known artists as well as the delivery of awards for larger community curiosity.
BLOGMASTER 10/13/2022 11:34:00 am
Read more ...


 Coi Leray is unhappy that Benzino's father may have ruined his chance to collaborate with Hip Hop Queen Nicki Minaj.
BLOGMASTER 2/22/2022 09:35:00 am
Read more ...

Kama suala la Kardashian la mwaka 2014, gazeti hilo lilisema kuwa rapa mwenye umri wa miaka 34 alikuwa akijaribu "kuvunja record za Internet" na cover la jarida la NSFW. Katika picha ya hatari, kuna matoleo matatu ya Minaj, ambayo ana nywele nyeusi ndefu na ameketi juu ya kiti na miguu yake
Poldavy 11/16/2017 01:40:00 pm
Read more ...

    Nicki Minaj is dropping a new collaboration with Yo Gotti dropping on Thursday night and it sounds like fire.
Poldavy 6/01/2017 11:34:00 am
Read more ...
2017 delivered some outstanding releases from the country’s most dominant genre, but 2018 could prove just as, if not more, exciting thanks to highly-anticipated drops from music’s biggest names.
Poldavy 1/17/2018 05:38:00 pm
Read more ...
Bila shaka Cardi B ni mojawapo ya wasanii wanaopendwa zaidi duniani. Inaonekana kama kila kitu kidogo anachofanya anaishia kufanywa kama habari. Hata hivyo, tangu alipotokea kwenye eneo hilo, inaonekana kama kila mtu amekuwa akijaribu kumchonganisha na Nicki Minaj.
Unknown 4/06/2018 03:57:00 am
Read more ...
Nicki Minaj kaachia video zote mbili kwa mpigo "Barbie Tingz" na "Chun-Li" bangers zake za hivi karibuni.
Video ya "Chun-Li" iliongozwa na Steven Klein na inaonyesha Nicki Minaj akicheza kamaa mwanamke mwenye nguvu wakati wa kuabudu utamaduni wa Kijapani. Video hiyo ilifanyiwa choreograph na Aliya Janell, wiki iliyopita Nicki alionyesha baadhi ya Behind the Scene.
JANNET AGUSTINE 5/07/2018 05:39:00 pm
Read more ...

2022 mtv video music awards The 2022 MTV VMA awards took place at the Prudential Center in New Jersey on Yesterday 28August2022.

BLOGMASTER 8/29/2022 12:19:00 pm
Read more ...
Nyota wa Young Money katika biashara mpya ya Mercedes-Benz na aliweka tangazo kwenye Instagram yake ambayo ni post yake ya kwanza tangu Desemba 30 mwaka jana. Hii inaweza kuwa ishara ya wazi kwamba kaamua kurudi  katika social media na muziki. Nicki Minaj amejifungia studio kwa muda kwa miezi mitatu iliyopita akifanya kazi kwa bidii kwenye albamu yake inayokuja. Hatuna tarehe ya kutolewa au Jina la Albamu hiyo, lakini tunajua hakika inakuja mwaka huu.
Unknown 3/31/2018 01:36:00 am
Read more ...

Usiku wa kuamkia tarehe 26 December rapper Lil Wayne ameamua kutunuku album ya Dedication 6

Poldavy 12/26/2017 01:28:00 pm
Read more ...
Miaka kumi na moja baada ya kuvunja rekodi kama solo na The Dutchess, Fergie hatimaye tayari kuondoa unquelash, Double Dutchess.Jitihada za kuchelewa kwa muda mrefu zinajiunga na nyota inayojumuisha nyota ambayo inajumuisha Nicki Minaj ("Tayari Umejua"), Rick Ross ("Njaa"), na YG, ambaye hutoa mkono juu ya hit ya platinum ya 2014 "LALOVE (la la) "Hata Fergie na mtoto wa miaka 4, Axl Jack, Josh Duhamel, hufanya cameo kwenye" Enchanté (Carine). "
Poldavy 8/19/2017 12:18:00 pm
Read more ...

Shenseea, Skillibeng & Popcaan will Perform at Wireless Festival 2022

 Three Jamaican entertainers secured slots to perform at England’s annual summer music festival come July 2022 , attracting the best from the world of Hip-Hop.

BLOGMASTER 5/14/2022 08:43:00 am
Read more ...

Kituo cha BET tayari kimetangaza majina ya wasanii watakaowania Tuzo za BET 2018 kutoka Afrika katika kipengele cha Best International Act.

Katika kipengele hicho majina matano ya wasanii watakaowania tuzo hizo kutoka Afrika hakuna jina la msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki.

EDITOR 5/19/2018 01:50:00 pm
Read more ...

 Nicki Minaj has outlined plans to make a joint tour with Drake and Lil Wayne. During Questions and Answers via Twitter over the weekend, the queer queen joked about possible trips with her Young Money brothers.
BLOGMASTER 3/11/2022 11:11:00 am
Read more ...

Poldavy 6/06/2019 05:37:00 am
Read more ...
Wote Lil Wayne na Nicki Minaj waliweka orodha ya Midundo iliopo katika Mixtape ya "Dedication 6"
Poldavy 12/25/2017 09:34:00 am
Read more ...
Tokeo la picha la instagram photosInstagram imetoa orodha ya akaunti kumi ambazo zinawafuasi ama followers wengi zaidi kwa mwaka 2016, pamoja na kuwa na watumiaji wengi lakini Tanzania haina mtumiaji hata mmoja ambaye ameweza kuingia katika orodha hii.Wanawake ndio wametawala zaidi orodha hii na wamechukua nafasi nane nafasi mbili tu ndio zimeenda kwa watumiaji wa kiume.
Tokeo la picha la kendall jenner photo10. Kendall Jenner.

Nafasi ya kumi imeshikiliwa na mwanamitindo kutoka Marekani ambaye ni mdogo wake na Kim kardashian ameshika namba kumi katika orodha hii huku akiwa na followers wapatao milion 70.1.
9. Tokeo la picha la nicki minaj photosNicki Minaj.

Star na mwanamuziki Nicki Minaji kutoka Marekani aliyevuma katika anga ya muziki na albamu ya Pink friday mwaka 2010 ameshikilia namba 9 katika orodha ya watu wenye wafuasi wengi zaidi mwaka 2016. Nicki anawafuasi ama followers milioni 7o.
Tokeo la picha la the rock photos8. Dwayne Johnson.

Katika nafasi ya nane anasimama Muigazaji na Mcheza mieleka (katika mieleka anajulikana kama The Rock) ambaye anashika nafasi ya nane katika orodha hiyo na wafuasi milioni 72.2.
7.Kylie Jenner.

Katika nafasi hii yupo binti wa miaka 19 Kylie Jenner ambaye anatokea katika familia ya Kardishian, binti huyu ni star wa televisheni na pia ni mwanamitindo na anawafuasi milioni 80.8 katika mtandao huu wa Instagram.
6. Christiano Ronaldo.

Mwanasoka wa timu ya taifa Ureno pamoja na timu ya Real Madrid ndiye mwanaume wa pili na mwanasoka pekee katika orodha ya watumiaji wenye wafuasi wengi katika mtandao huu. Ronaldo anawafuasi wapatao milioni 83.8
5. Kim Kardashian.

Kim Kardashian ni mwanamitindo na star wa Televishen ambaye pia ni mke wa Kanye West, mwanafamilia huyu wa Kardashian anajiunga na wadogo zake wengine wawili ambao wapo katika orodha hii. Kim ana wafuasi wapatao milioni 88.8.
4. Beyoncé.

Beyoncé Giselle Knowles-Carter ambaye ni mwanamziki wa Marekani na pia ni mke wa mwanamziki Jay Z, mwanamama huyu anasifika kwa kuwa na mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii na katika orodha hii anasimama katika namba 4 akiwa na wafuasi wapatao milioni 89.8 katika mtandao huu.
3Ariana Grande.

Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye tayari amekwisha tamba na vibao kadhaa katika anga za muziki anashikilia nafasi ya tatu akiwa na wafuasi milioni 91.2
2.Taylor Swift.

Nafasi ya pili inashikiriwa na msanii ambaye pia ana mashabiki wengi saana katika mitandao, Taylor ameshawahi kuongoza kwa kuwa na wafuasi wengi katika mtandao wa Twitter.
Taylor ana wafuasi 94.4 milioni.
1.Selena Gomez.

Mwanamuziki na Muigizaji Selena Gomez ameibuka kinara katika orodha ya watumiaji wa instagram ambapo ana wafuasi 104 milioni. Selena alipata umaarufu katika majukumu yake ya uigizaji akiwa binti mdogo lakini pia uhusiano wake na mwanamuziki Justin Beiber ulimpa kiki na wafuasi zaidi.

Poldavy 12/11/2016 12:18:00 pm
Read more ...
Video mpya ya Migos Ft Nicki Minaj na Cardi B ‘MotorSport’, wimbo wa “MotorSport” upo kwenye album yao mpya ‘Culture II’ inayotoka January 2018.
Poldavy 12/08/2017 01:42:00 pm
Read more ...
Quavo, Offset and Takeoff who are the creators of the group have left their 'Culture II' album in which it has 24 drums.
Poldavy 1/26/2018 11:41:00 am
Read more ...