ADVERTISE WITH US

NEW VIDEO: NICKI MINAJ BARBIE TINGZ + CHUN-LI

Nicki Minaj kaachia video zote mbili kwa mpigo "Barbie Tingz" na "Chun-Li" bangers zake za hivi karibuni.
Video ya "Chun-Li" iliongozwa na Steven Klein na inaonyesha Nicki Minaj akicheza kamaa mwanamke mwenye nguvu wakati wa kuabudu utamaduni wa Kijapani. Video hiyo ilifanyiwa choreograph na Aliya Janell, wiki iliyopita Nicki alionyesha baadhi ya Behind the Scene.
Kipande cha video hii tayari kimeshafikia watazamaji milioni 10 katika masaa 24 ya kwanza baada ya kutolewa.

No comments: