ADVERTISE WITH US

Results for KITAIFA
The new rules and fees for registration and levies for online activities related to blogs, websites, forums, YouTube, TV and radio have brought grief to Tanzanians and the owners of the networks who are largely low-income young people self-employed due to the difficulty of employment in the country. On behalf of Tanzanians and bloggers,
EDITOR 4/23/2018 10:19:00 am
Read more ...


Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema miili ya askari 14 waliouawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) itawasili nchini Jumanne au Jumatano wiki ijayo.
Poldavy 12/10/2017 02:57:00 pm
Read more ...
 Yafuatayo ni majina ya Wanajeshi 14 waliofariki nchini Congo DRC

Poldavy 12/10/2017 10:26:00 am
Read more ...

Balozi wa Angola, Tanzania amtaka Eduardo dos Santos kushtakiwa

Balozi wa Angola nchini Tanzania amemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Jose Eduardo dos Santos kushtakiwa kwa madai ya uhalifu aliyotekeleza wakati wa utawala wake wa miaka 38.
Ambrosio Lukoki amesema kuwa bwana dos Santos anafaa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha MPLA kwa kuwa alikuwa anatumia wadhfa wake huo kuzuia kushtakiwa.
Rais mpya wa Angola Joao Lourenco hivi majuzi aliwafuta kazi wakuu wa polisi na vitengo vya ujasusi ,hatua iliokiuka sheria kwamba hatofanya hivyo kwa kipindi cha miaka minane.
Poldavy 11/24/2017 06:13:00 am
Read more ...

Bi Grace Mugabe alikuwa na shamba la maziwa na alifungua kituo cha mayatima katika shamb hilo

Mamia ya wanakijiji katika shamba la Arnold katika kijiji cha Mazowe nchini Zimbabwe walivamia shamba la Grace Mugabe ili kusheherekea kung'atuliwa mamlakani kwa kiongozi huyo waliyedai amekuwa akiwanyanyasa na kuwafanya kuwa masikini kwa lengo la kuimarisha mali ya familia yao.
Poldavy 11/23/2017 06:54:00 pm
Read more ...
Jenerali Ratko Mladich

Kamanda wa zamani wa jeshi la Boznia Jenerali Ratko Mladich amehukumiwa maisha jela na Mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu wa kivita-ICC.
Poldavy 11/23/2017 05:39:00 am
Read more ...
Tanzania inaweza kunufaika na utalii wa samaki aina ya papa potwe waliorejea katika pwani ya Bahari ya Hindi baada ya kutoweka kutokana na uharibifu wa mazingira.
Poldavy 11/21/2017 03:47:00 am
Read more ...

WATU 40 wa Kitongoji cha Isumbi katika Kijiji cha Igung’hwa Kata ya Kinaga katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya hiyo baada ya kinachodaiwa kuwa ni kula kiporo na mboga za majani aina ya mgagani. 
majani aina ya mgagani waliouita “mchicha.”

Aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na wananchi katika msiba uliotokea nyumbani kwa Salum Manyanda na kuongeza kuwa asilimia kubwa ya watu waliougua ghafla baada ya kula chakula hicho ni wanawake.

Ofisa Mtendaji wa Kata huyo alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi baada ya waombolezaji kula chakula kilichobakia jana ya siku hiyo huku akieleza kuwa wote waliougua ghafla walikimbizwa katika hospitali ya Wilaya ya Kahama kupatiwa matibabu.

“Idadi ya watu haijafahamika ila nimepewa taarifa kuwa ni zaidi ya wakinamama arobaini ndiyo waliokimbizwa katika Hospitali ya Mji wa Kahama, msiba ulitokea Novemba 14, kama unavyojua vijijini bado kuna ile tabia ya msiba unapotokea akinamama wanapika chakula nyumbani kisha wanapeleka msibani.

“Ule ugali uliobaki siku ya kwanza ya msiba ulikosa mboga ikabidi wakina mama waingie katika mashamba kuchuma mboga ambapo walipika mboga aina mbili mrenda na mgagani uliodaiwa kuwa ni mchicha, sisi wanaume tulikula ugali na mrenda akina mama wakala ugali na hiyo mboga ya mgagani ndiyo chanzo cha tukio,” alisema.

Naye Joyce Samweli alilieleza kuwa wakati wakipeleka chakula kingine katika msiba huo uliodumu siku mbili, alikutana na akinamama wenzake waliougua ghafla ugonjwa huo wakionekana kukosa nguvu, kuangua vicheko na kukimbia ovyo jambo lililoushangaza umati msibani.
Poldavy 11/18/2017 02:08:00 pm
Read more ...
Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw, Irenius Ruyobya akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika inayotarajiwa kuadhimisha tarehe 20 Novemba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtakwimu Mwandamizi wa ofisi hiyo Bw. Philemon Mwenda.   
Poldavy 11/17/2017 07:40:00 pm
Read more ...


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo imetangaza orodha ya Awamu ya Nne yenye wanafunzi 1,775 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 31,353. Katika Awamu ya Kwanza, wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza walipangiwa mikopo, Awamu ya Pili (11,481) na Awamu ya Tatu (7,901).
Poldavy 11/13/2017 08:03:00 am
Read more ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutafuta fedha na kujenga barabara ya Mutukula – Minziro yenye urefu wa kilometa 6 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo.
Poldavy 11/12/2017 02:35:00 pm
Read more ...
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Land Cruiser kuacha barabara na kuligonga basi la kampuni ya Taowa Coach, ajali hiyo imetokea leo katika eneo la kijiji cha Kideka wilaya ya Ikungi, Singida.
Poldavy 11/12/2017 12:48:00 pm
Read more ...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (AUWSA), Mhandisi Ruth Koya wakipeana mikono na Mkandarasi-Kampuni ya Jiangxi Geo-Engineering ya China, Chen Xianghua mara baada ya kusaini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira kwa Jiji la Arusha.
Poldavy 11/01/2017 02:51:00 pm
Read more ...
Mbunge wa jimbo la Kawe, Mhe. Halima Mdee amemkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe Lazaro Nyalandu ndani ya CHADEMA kwa kumtahadharisha kuhusu changamoto wanazokumbana nazo viongozi wa vyama vya upinzani.

Mhe. Halima Mdee
Halima Mdee ametoa tahadhari hizo mapema leo baada ya Mhe Nyalandu kutangaza kujiuzulu nafasi yake zake za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kujivua ubunge.
Poldavy 10/31/2017 12:12:00 am
Read more ...

Dar es Salaam. Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejivua uanachama wa CCM na nyadhifa zake zote, akisema haridhishwi na mwenendo wa siasa nchini.
Poldavy 10/30/2017 04:55:00 pm
Read more ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano profesa Makame Mbarawa kupeleka bilioni 9 Mwanza katika ujenzi wa Uwanja wa ndege.
Poldavy 10/30/2017 02:50:00 pm
Read more ...
Tokeo la picha la whatsapp group     WAANDISHI wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsapp lijulikanalo kama TASNIA HALISI wamezindua kundi hilo jana Oktoba 28, 2017 kwa sherehe kabambe ya kukata na shoka iliyohanikizwa na nyama choma, vinywaji vya kila aina na muziki.
Poldavy 10/29/2017 10:54:00 am
Read more ...

Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes. Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni. Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana
.
Poldavy 10/25/2017 09:08:00 am
Read more ...
WANAFUNZI 14,000 kati ya 40,000 walioomba kujiunga na masomo ya juu wamechaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika mwaka mpya wa masomo 2017/18 unaoanza wiki hii.
Poldavy 10/25/2017 08:45:00 am
Read more ...
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Ofisi za serikali za kijiji cha Mtavira.
Poldavy 10/23/2017 10:51:00 am
Read more ...