ADVERTISE WITH US

Results for SIASA
Matisyahu

Matisyahu, the Jewish reggae artist known for blending spiritual and social messages with reggae beats, has been vocal about his determination to continue his career despite facing challenges.

BLOGMASTER 9/15/2024 01:15:00 pm
Read more ...

MAHAKAMA imewaacha huru wataalamu wa teknolojia na mawasiliano waliotuhumiwa kusambaza matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2015 Kabla ya kuthibitishwa na tume ya Uchaguzi (NEC), mara baada ya upande wa mashitaka kufuta shauri hilo.
Poldavy 12/01/2016 04:32:00 pm
Read more ...


Freeman Mbowe
   
Baada ya kuanzisha na hatimaye kukwama kuitekeleza operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), Chadema imekuja na nyingine itakayokwenda kwa jina la ‘Kata Funua’.

Operesheni hiyo mpya imetangazwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ikilenga kukipa chama hicho mafanikio katika uchaguzi wa
Poldavy 11/29/2016 12:11:00 pm
Read more ...
Sakata la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweka fedha katika akaunti maalumu kwenye benki za biashara limechukua sura mpya baada ya Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu kusema si kosa kisheria.

Profesa Ndulu, ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Bodi ya TRA iliyovunjwa na Rais John Magufuli Jumapili iliyopita, alisema mjini Arusa jana kuwa hakuna hasara kiuchumi kuweka fedha kwenye akaunti maalum isipokuwa hilo suala lilikuwa na hali nyingine.
Poldavy 11/26/2016 11:51:00 pm
Read more ...

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametunukiwa tuzo baada ya kutangazwa mshindi wa mwaka 2016 wa Taasisi ya Mafanikio ya Govan Mbeki (Govan Mbeki Lifetime Achievement Award), katika sherehe iliyofanyika usiku wa kuakia jana, kwenye Ukumbi wa International Convention Center (ICC) mjini Durban, nchini Afrika Kusini.

Profesa Tibaijuka, ambaye pia alipata kuwa
Poldavy 11/26/2016 07:50:00 pm
Read more ...