Eminem ametoa video ya Framed, video yenye muundo wa horror movie (filamu ya kutisha) katika wimbo wake mpya wa ‘Framed’ Kutoka kwenye album yake ya 2017 iitwayo REVIVAL,
Wakati huo huo, Eminem hivi karibuni alitoa mstari wa masuala yenye lengo la NRA (National Rifle Association '). Rapper wa Detroit aliongeza Verse kwenye Wimbo wa "Nowhere Fast ' alimshirikisha Kehlani ,' .
Itazame hapa video mpya ya Eminem ‘Framed’

No comments:
Post a Comment