Album ya Rapper wa hiphop mwenye ushawishi mkubwa duniani Eminem Iitwayo Revival imekamata number moja kwenye chati za billboard wiki hii ya 26th-29 December
baada ya mauzo ya kopi 267,000, hii imekuwa album ya nane ya Eminem kushika nafasi ya kwanza kwenye Billboard.
Album inawasanii Beyoncé, Alicia Keys, Ed Sheeran,na Kehlani, SOMA PIA↪Eminem kuweka Historia katika chati za Billboard 200
BILLBOARD 200 TOP 10
BILLBOARD 200 TOP 10
1. Eminem – Revival
2. Taylor Swift – Reputation
3. G-Eazy – The Beautiful & Damned
4. Ed Sheeran – ÷
5. Pentatonix – A Pentatonix Christmas
6. Jeezy – Pressure
7. Sam Smith – The Thrill of It All
8. Luke Bryan – What Makes You Country
9. Garth Brooks – The Anthology: Part I, The First Five Years
10. Chris Stapleton – From A Room: Volume 2 Tazama video hapo chini.👇
2. Taylor Swift – Reputation
3. G-Eazy – The Beautiful & Damned
4. Ed Sheeran – ÷
5. Pentatonix – A Pentatonix Christmas
6. Jeezy – Pressure
7. Sam Smith – The Thrill of It All
8. Luke Bryan – What Makes You Country
9. Garth Brooks – The Anthology: Part I, The First Five Years
10. Chris Stapleton – From A Room: Volume 2 Tazama video hapo chini.👇




No comments:
Post a Comment