ADVERTISE WITH US

VITU VITANO 5 USIVYOVIJUA TOKA KWA KANYE WEST S1E1

Wapo watu wengi Maarufu wenye kujulikana dunia nzima kutokana na kazi zao za muziki na hata mambo wanayofanya.

Jambo linalotuvutia watu wengi kutaka kujua kiundani na mbali ma muziki ni mambo gani mengine ambayo wasanii na watu Maarufu huyafanya nje au ndani ya shughuli zao kwa Siri bila watu kujua


Leo tutanza kuangalia Mambo matano ambayo Kanye West aliyafanya yakashangaza Ulimwengu mbali na Umaarufu wake Enjoy. usisahau ku SUBSCRIBE @GRAVITY

No comments: