ADVERTISE WITH US

NEW VIDEO : WYRE - MIMI NA YE

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Wyre ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mimi Na Ye iliyoongozwa na Director Deska Torres kutoka Platnumz Pictures.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter wyre alipost kipande cha Ngoma hii

Itazame hapa.

No comments: