ADVERTISE WITH US

NEW VIDEO: SIMCO - NIANZE MIMI

Msanii wa muziki Simco ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Nianze Mimi’ ngoma hiyo imetengenezwa kwa Ushirikiano wa maproducer wa tatu Yaani Elly Da Bway , CatP & Bacteria na kwa upande wa video imeongozwa na Director Eddy.
 kupitia Ukurasa wake wa Facebook Simco Icecream aliandika "#NIANZEMIMI is out now link kwenye bio ya @simco_icecream Enjoy lakini pia Usiache Kushare ili tuwape funzo wenye vijitabia vyakupenda kusubiri mpaka waanzwe wao kupigiwa cm,dinner dates kuwatoa adi kuwaomba chezo aagh #directed by @director_eddy #audioprouducer @iamcatp, @ellydabway & @bacteria''

Chukua muda wako Kuiangalia hapa.

No comments: