![]() |
| Big Shaq Man Don’t Dance |
The comedian rapper sasa amekuja upya na ngoma iendayo kwa jina la "Man Do Not Dance" ambalo yeye hujitokeza kwenda Dubai kupata upendo. Lakini usichukue jambo hili, maana hata katika wimbo huu pia Shaq ametumia lyric iliompatia umaarufu "Skidiki pap-pap, na pu-pu-pudrrrr-boom" .
Chukua Muda wako kusikiliza wimbo mpya.
anakuambia "1 and 1 is 2 that’s me and you I said babes, I’mma big man I got big plans, they call me Big Shaq I make the ting go quack from way back I made “Mans Not Hot,” I know you like that"




No comments:
Post a Comment