ADVERTISE WITH US

OCTOPIZZO KUAANDA ALBAMU MPYA NA MTAYARISHAJI WA KIMATAIFA

Rapper Octopizzo pia Anaangalia soko la kimataifa sio tu kukomaa na la nyumbani. Hii inamaanisha anahitaji kufanya kazi na majina mengine ya kimataifa kuleta viwango vinavyotarajiwa wakati wa kutoa muziki mpya.

Kibera MCee ameungana na Chris Athens, mtayarishaji aliyeheshimiwa sana nchini Marekani ambaye anafanya kazi na mega Stars kama Rick Ross, Jay Z, Nas, DJ Khalid, Young Jeezy na wengine wengi kuunda albamu zao.   
The most Anticipated Album, one of the Best pieces of words that I’ve ever put together. From the production Element to the Lyrical delivery I can promise you 20Yrs from now you’ll look back at this Album & relate.’’ ilisomeka post yake.

Octopizzo hatimaye alizindua albamu yake mpya, "Next Year" na amekuwa akiacha Ngoma baada ya Ngoma kwenye vyombo vya habari vya kijamii ambazo mashabiki wanaweza kununua. Nakala bado hazipatikani.
Alichukua muda wa kushiriki ujumbe wa kina kwenye vyombo vya habari vya kijamii wakati wa uzinduzi wa wimbo wake mpya, "NomaNi".

“Everyone wants to go to heaven but no one wants to die; I’ve traveled a lot in the past 12 months & everybody I meet is battling something that no one knows anything about.”alisema                                  
“I’ve been going through my own shit too in different levels & aspects of life & through this journey I’ve come to realize that,the most important things in the world have been accomplished by people who have kept on trying when there seemed to be no hope at all;The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort & convenience, but where he stands at times of challenge & controversy."
 
Baadhi ya Project ambazo Chris Athens amefanya kazi
aliongezea kwa kuandika haya katika mtandao.


There is neither happiness nor unhappiness in this world; there is merely the comparison of one state to the other. Only a man who has felt ultimate despair is capable of feeling ultimate bliss. This Album is dedicated to those of us who have always kept trying,those who have managed to break the Stereotypical Boundaries & Society Classism that they were born in,those who will always stay REAL 💯 even when it jeopardizes your Society status;This album was inspired by my Mama 🌹 Mrs Millicent Ohanga 🌹 {RIP} who went through it all for me to be who I am today, She WAS,IS & WILL 4EVA my KING 👑.
This picture was taken when I was 10 hrs Old at Kibera Darajani studio on a Christmas Day & Today April 20th I celebrate 10yrs in the Music Business.
Let perseverance be your engine & hope your fuel #LetsGetLit HAPPY #420 ðŸ’¨ 
#NomaNi Video Drops ☔ at 4:20 pm
N E X T Y E A R O U T NOW LINK ON BIO
Executive Producer Octopizzo 
Mixed by Jon Rook
Mastered by Chris Athens.” 

No comments: