ADVERTISE WITH US

NEW MUSIC: OFFSET– ‘HOT SPOT’ FEAT. 21 SAVAGE

Offset na 21 Savage walitoa albamu yao ya pamoja Without Warning chini ya Production ya Metro Boomin Oktoba mwaka Jana lakini inaonekana kama wamekuwa wakifanya kazi toka kitambo.

Wimbo mpya kutoka kwa wasanii wawili wa Atlanta inayoitwa 'Hot Spot' imetoka Rasmi leo chini ya mkono wa Prodyuza Zaytoven. Stream hapa chini.

No comments: