Los Angeles, CA - Hatimaye, wakati umefika kwa Kanye West kuja na muziki mpya baada ya matangazo yote aliyoyafanya. Siku ya Ijumaa (Aprili 27), Kanye aliongeza mafuta kwenye moto yaliyotokana na watu ambao wanaamini kuwa amepoteza akili yake kwa kumuunga mkono Donald Trump.
Wimbo wake mpya “Lift Yourself” hakuwa kitu tu bali sampuli za roho na kutangaza juu ya kuenea. Hata hivyo, kwa wimbo wake mpya “Ye Vs. The People” wkiwa na mmoja ya rapa wakubwa ambao wanampinga Trump T.I., katika ngoma hii wametumia mtindo wa majadiliano ya wazi kama ambavyo Professa Jay alifanya katika Wimbo wa Ndiyo mzee.
“I know Obama was Heaven-sent/But ever since Trump won, it proved
that I could be President,” michano ya Tip kumuuliza Kanye. “Yeah you
can, at what cost though?/Don’t that go against the teachings that Ye
taught for?”
“Yo T.I.P., I hear your side and everybody talk though/But ain’t
goin’ against the grain everything I fought for?” Yeezy alijibu.
Rekodi ilifunguliwa na kituo cha Power 106 Los Angeles , ambapo megastar alielezea jinsi Trump "alikuwa ndugu yake," waziwazi hawakubaliana na John Legend na hata akaonyesha kofia yake "Make America Great Again".
Sikiliza Power 106 stream up na uzisome lyrics za “Ye Vs. The People” hapo chini kupitia
Genious



No comments:
Post a Comment