ADVERTISE WITH US

KANYE AKANUSHA KUMDISS J. COLE KATIKA WIMBO WA ‘'LIFT YOURSELF''

Kumekuwa na Maneno mengi sana toka kwa Wachambuzi mbalimbali wa Mistari ya wimbo huu wakidai kuwa Kanye kaimba wimbo huu kama Disstrack kwa rapa J.Cole, ingawa Yeez alipinga  kupitia mtandao wa Twitter kwa kusema kuwa hii si Ngoma ya kumponda J. Cole.
  

'Unatambua kwamba wakati alipo tweet kwamba alikuwa na wimbo unaitwa ‘Lift Yourself’ ' ambayo ilipotezwa mtandaoni.

Sasa wimbo huo Upo kwenye tovuti ya Yei. Sikiliza hapa. Yikes.

No comments: