ADVERTISE WITH US

JIANDAE KWA COLLABO YA WIZKID NA OLAMIDE

Inaonekana kama bosi wa Starboy, Wizkid na bosi wa YBNL, Olamide wana tupikia Track mpya ya moto. Wasanii wote wamefunguka mawazo yao katika vyombo vya habari  mbalimbali na kama rekodi zao za zamani zinaonyesha huwa hawakosei hawa jamaa hivyo tuna uhakika kuwa  wataleta bonge la banger. Olamide alishare picha ya StarBoy, kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa na maelezo:
Wiz came to bless some beats for me 🙏🏾 @wizkidayo.
A post shared by Olamide Adedeji (@baddosneh) on
Wizkid pia kupitia ukurasa wake wa Twitter kasema kwamba yeye na Olamide wanajifungia studio kila siku.
Naye Olamide akajibu;
kisha wizkid akamalizia;

No comments: