ADVERTISE WITH US

DOWNLOAD VIDEO: HARMONIZE FEAT SARKODIE - DM CHICK

Muimbaji kutokea label ya WCB, Harmonize ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la DM Chick ambayo amemshirikisha rapper Sarkodie kutokea nchini Ghana, Audio imesimamiwa na Producer Chris Alvin Sunday almaarufu kama Krizbeatz the drummer boy toka Nigeria, video imeongozwa na Moe Musa.
Chukua muda wako wa Kupakua na Kuangalia. j

No comments: