ADVERTISE WITH US

DOWNLOAD VIDEO & AUDIO: PATORANKING – SUH DIFFERENT

Baada ya kusaini Wasanii wawili wapya kwa Mmiliki wa Amari Music, mwimbaji wa Dance hall toka Nigeria, Patoranking anakuja na rekodi hii mpya inayoitwa Suh Different. Suh Different imefanyiwa na Prodyuza wa ghana aitwae Mix Master Garzy,  na smash Love You Die ambaye amekusanya zaidi ya Watazamaji milioni 20 katika vevo anarudi tena na track hii mpya.



isikilize hapa chini au bofya hapa👉 Download👈
Download VIDEO hapa

No comments: