‘Invasion of Privacy’ imetoka na ina ngoma 13, ndani yake kuna mastaa kibao, ikiwa ni pamoja na Chance the Rapper, SZA, YG, Kehlani, Migos, Bad Bunny, na J Balvin, na Production safi kutoka Boi-1da, Frank Dukes, Vinylz, Cheeze Beatz, Roc 30, na J. White Did It! .
Orodha ya nyimbo zilizopo kwenye album ya Invasion of Privacy ya Cardi B.Albamu hiyo imetoka leo Ijumaa ya April 6 kwa muda wa Marekani lakini kwa Afrika Mashariki ni sawa na kesho siku ya Jumamosi ya April 7.
1. “Get Up 10”
2. “Drip” featuring Migos
3. “Bickenhead”
4. “Bodak Yellow”
5. “Be Careful”
6. “Best Life” featuring Chance The Rapper
7. “I Like It”
8. “Ring” featuring Kehlani
9. “Money Bag”
10. “Bartier Cardi” featuring 21 Savage
11. “She Bad”
12. “Thru Your Phone”
13. “I Do” featuring SZA
Unaweza kudownload albamu mpya ya Cardi kupitia iTunes kwa kubonyeza 👉 HAPA👈
ISIKILIZE KUPITIA MTANDAO WA SPOTIFY 👇
Itazame Album hii kwa muundo wa YouTube PlaylistThat was me singing on thru your phone 😩❤️❤️Hope ya like it ..Hope ya enjoying the album❤️— iamcardib (@iamcardib) April 6, 2018



No comments:
Post a Comment