ADVERTISE WITH US

DOWNLOAD & STREAM KING COMBS ’90’s BABY’ MIXTAPE

Christian “King” Combs anachukua hits kutoka Miaka ya '90' na kuzifanyia  mixtape yake ya kwanza, Baby's 90, kama shukurani kwa wana hip-hop na R & B walikimbiza game wakati wa utoto wake.  project ina  mfululizo wa ngoma 12 una vyanzo vingi vya msukumo kutoka kwa Mashariki na Magharibi. Hii inajumuisha "Tha Shiznit", Snoop Dogg, 2Pac "All Eyez On Me," na hata "Señorita" ya Baba yake mzazi Diddy.
Combs, mwenye miaka 20, kufunga albamu na ngoma ya 50 Cent "U Not Like Me," ambayo imetoka mwaka wa 2002. Timu ya Bad Boy pia inaonekana kwenye   duo ya baba na mtoto. Wakati huo huo, wageni ni pamoja na wanachama wa wafanyakazi wake wa CYN.
Sikiliza mixtape ya  '90stoka kwa King Combs chini.

No comments: