ADVERTISE WITH US

SHOW YA JAH CURE IN AFRICA WASANII WA TANZANIA WAPATA NAFASI

Tour ijulikanayo kama JAH CURE IN AFRICA Ambayo itafanyika katika baadhi ya miji ya Afrika imewekwa wazi kuwa Itaanza tarehe 26th December mpaka 11th January 2018 sasa katika show itakapofika nchini Kenya Wasanii kutoka Nchini Tanzania Shetta na Aslay wapata nafasi ya ku_perform ndani ya Tour hiyo.
 
Katika ukurasa wa instagram wa@Bidibidi waliandika"Mombasa, Kenya get ready! The Burudani Diani Festival is the second stop on Jah Cures upcoming Africa tour.. Secure your VIP & VVIP Ticket Packages today LIPA NA MPESA PAY BILL NO. 859130
To confirm booking and info please call 07 02 801 666 #BurudanidianiFestival2017
#Repost @therealjahcure (@get_repost)
・・・
Africa live!! 🇸🇳🇰🇪🇬🇲🇬🇳🇷🇪🇿🇦🌍
Art: by @jusbusagain "
 TAZAMA RATIBA KAMILI YA SHOW HIYO KATIKA PICHA HAPO CHINI.






No comments: