ADVERTISE WITH US

PAKUA HAPA FULL ALBUM YA EMINEM-REVIVAL.

Tangu mwezi Oktoba taarifa zilianza kusambaa Juu ya ujio wa Albamu mpya ya Eminem,
 na mwezi Septemba taarifa zilithibitishwa rasmi kuwa mwezi Desemba mtu mzima anadondosha jiwe.

Walk On Water akiwa na mwanadada Beyonceiliachiwa Mwezi Novemba ikiwa kama Ngoma ya kuitambulisha albamu ambapo ilifuatiwa na Ngoma nyingine Untouchable na mwisho akaachia River akiwa na Ed Sheeran. 
Rasmi tarehe  15 Desemba mtu mzima ameachia Mchongo mzima Japo uli Leak Desemba 13 lakini haijaaribu sana sababu ndo kwanza alikuwa kashakaribia kuachia albamu nzima.

Albamu nzima, Ina nyimbo 19 huku mzigo mzima katika Production akiwa kasimamia Dr Dree pamoja na producers wengine wengi tu, Kama yeye mwenyewe pamoja na Skylar Grey ambae pia kamshirikisha katika moja ya ngoma. 
 

eminem-revival-album-tracklist
Idadi Ya Nyimbo

Ukipitia baadhi ya Reviews albamu imeonekana kupewa Review nzuri zaidi huku wakisifia uandishi wa Eminem katika kila ngoma.

Bonyeza  HAPA kushusha Albamu nzima Alafu mstue na mwana, Alafu usisite kutuachia Maoni yako kuhusu Albamu kwa ujumla. 

No comments: