ADVERTISE WITH US

NEW MUSIC: LIL WAYNE FEAT. DRAKE – ‘FAMILY FEUD’

Baada ya kuacha  mixtape ya Dedication 6   siku ya Krismasi, Lil Wayne anapakia tena Mzigo mwingine kwa kushirikiana na Drake.
Zaidi ya JAY-Z na Beyoncé baada ya "Family Feud", iliyozalishwa na No I.D., Drizzy Katika ngoma hiyo kachana kuhusu Diddy, Colin Kaepernick, Weezy, Trump, na hata Meek Mill.
Drizzy pia alimdefend Wayne kuhusu kujiondoa na kuweka battle na uongozi wa Cash Money/Universal. 
Katika mashairi haya ➡ “Tell me if TD Bank is approving loans / I’m thinking of paying what Universal owes / My ni**a spent a lifetime going platinum and gold / He should have half of the label / Shit out of control,” he raps before bringing up Apple Music’s Larry Jackson. “Somebody get Larry Jackson on the phone / I need some ownership if we pressin’ gold / ‘Cause business is boomin’ on behalf of me / I need a bite out of the apple like Adam and Eve.” 
  Collaboration yao Itakuja katika Sehemu ya 2 ya  Dedication 6 inayoitwa D6: Reloaded.  Sikiliza ngoma ya Drizzy na Weezy go off hapo chini.👇.

No comments: