Mtandao wa Instagram tangu kuanzishwa kwake, umeweza kufanya vizuri sana mpaka kuweza kununuliwa na Facebook, na mpaka sasa umeendelea kukimbiza hasa katika ulimwengu wa wapenda picha.
GUSA HAPA➡ MAMBO 5 USIYOFAHAMU KUHUSU INSTAGRAM
Lakini katika mtandao huo kuna mambo kadhaa ambayo pengine wengi wanaweza wakawa hawayajui, na sasa tumeamua kukujuza zaidi.
1. Kevin Systrom na Mike Krieger ndio waanzilishi wa Instagram. Wasingepata wazo lakutengeneza Instagram, sasahivi situngekua bado tunapambana na Facebook?
Soma hapa↪Download GB Instagram v1.20
2. Selena Gomez ndio Staa mwenye followers wengi zaidi Duniani.
3. Watumiaji wengi ni Wanawake (64%) ukilinganisha na Wanaume (36%). 4. Clarendon, Juno, na Gingham ndio Filters zinazopendwa zaidi.
5. Muda mzuri wakupost ni :-
Jumapili : 5pm
Jumatatu : 7pm and 10pm
Jumanne : 3am and 10pm
Jumatano : 5pm
Alhamisi : 7am and 11pm
Ijumaa : 1am and 8pm
Jumamosi : 12am and 2am
6. 56% ya watumiaji kwa mwaka wanatengeneza $50,000 au zaidi.
7. Inakadiriwa watumiaji 400 million ndio wako active. PITIA👉10 BORA {TOP10} YA AKAUNTI ZA ISTAGRAM ZENYE FOLLOWERS WENGI
8. Kwasasa Picha maarufu Instagram imefikisha likes zaidi ya Million 11, ambayo niya Beyonce - "Twin Pregnancy Announcement".
9. 48.8% ya Brands Duniani ziko Instagram.
10. 50% ya watumiaji lazima wamefollow Brand moja (Mfano - Nike, Samsung, Dre Beats, Vodacom, Vans etc.)
11. Inakadiriwa Brands kubwa, kwa wiki zinapost mara 4 hadi 5.
12. Ukimuondoa Snoop Dogg, Kylie Jenner ndio Staa anaeongoza kwakupiga Selfies nyingi. Mara yamwisho alikua na jumla ya Selfies 451.
13. Picha ya Justin Bieber na Will Smith ndio Picha iliyokua na Likes nyingi zaidi Mwaka 2013.
14. Instagram wakati inanunuliwa na Facebook ilikua na Wafanyakazi 13 tu.
15. Hashtags maarufu ni love, beautiful, cute, me, selfie and tbt.
16. #Selfie ndio hashtag inayoongoza kutajwa kwenye Picha nyingi zaidi, kwani utaikuta kwenye Picha zaidi ya Milioni 57. 17. NIKE ndio Brand yenye followers wengi zaidi Duniani.
18. Marekani, Japan na Brazil ndio Nchi zenye watumiaji wengi zaidi Duniani.
19. Instagram official page ndio Ukurasa wenye Followers wengi zaidi Duniani.
20. Jen Setler ndio muonesha Makalio mwenye Followers wengi zaidi. 😂 (Sasa Tanzania sisi tunaongoza kwa kitu gani humu Insta?)

![]() |
| Jen Setler |
Source:TEKNOMOVIE

No comments:
Post a Comment