Jarida la Forbes lenye makaomakuu yake New York City,Marekani limetoa orodha ya vijana 600 wenye ushawishi Duniani kwa mwaka 2017-18.
. Kwenye kipengele cha wanamuziki wa Hip Hop wenye umri chini ya miaka 30 wanaoendelea kufanya poa zaidi kwa mwaka huu wametajwa Migos,Young Thug, Cardi B, Lil Uzi Vert na wengine wengi:

No comments:
Post a Comment