ADVERTISE WITH US

THE WEEKND NA JUSTIN BIEBER NDANI YA VITA KALI... KISA SELENA GOMEZ

Vita kali kati ya wa-Canada, The Weeknd na Justin Bieber imeshika kasi na inaelekea pabaya!

Kisa kilianza baada ya Bieber kumchana The Weeknd na kuudharau muziki wake, alipoulizwa kuhusu uhusiano wao mpya na Selena Gomez.
Image result for the weeknd selena gomez and bieber


The Weeknd alikaa kimya.. Ila leo kaufungua mdomo wake na kumchana JB kwenye wimbo wake mpya "Some Way", akisisitiza kumchukulia mpenzi wake. Mistari hiyo inasema,
"I think your girl, think your girl, fell in love with me
She say my f–k and my tongue game a remedy

Oh yeah, yeah, I just hit a lick and I know you feelin' some way
(nah, nah nah nah, nah nah nah)
I just took that chick, and I know you feelin' some way, oh yeah
She just want a n–a like me, you feelin' some way, way, way, yeah
She just want a n–a like me, I play no games"- ameimba The Weeknd..
tazama video hiyo hapo chini usikie alichokisema bieber


No comments: