ADVERTISE WITH US

Video/Picha: China yaanza kutengenza meli kubwa inayofanana na Titanic

Ujenzi huo wa meli hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269 uliaza siku ya Alhamisi.gett
gett
Kampuni hiyo ilitangaza mipango wa mradi huyo, utakaogharimu Yuan bilioni moja mwaka 2014, kulingana na shirika la habari la AFP.

Meli hiyo ya China, itakuwa yenye umbo sawa na ile ya Titanic , itakuwa na sehemu ya michezo, maonyesho, kuogelea na sehemu maalum ya watu maalum ambayo itakuwa na mtandao wa Wifi na inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika eneo hilo la theme park lililoko kilomita kadhaa kutoka pwani ya China.
Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast , iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 hatua iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500.nintchdbpict000286070307
nintchdbpict000285998479
nintchdbpict000285770801-e1480611229933
nintchdbpict000286070307
nintchdbpict000285998479
nintchdbpict000285770801-e1480611229933

SOURCE; +Bongo5 

No comments: