ADVERTISE WITH US

Mwanamuziki mkongwe wa POP kutoa UK, George Michael afariki dunia

Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53.REMEMBERING GEORGE MICHAEL
Msemaji wake amedai kuwa mwanamuziki huyo aliyeanza kujipatia umaarufu miaka ya 1980s amefariki kwa amani huko Goring, Oxfordshire.
Taarifa ya msemaji wake imesema: It is with great sadness that we can confirm our beloved son, brother and friend George passed away peacefully at home over the Christmas period. The family would ask that their privacy be respected at this difficult and emotional time. There will be no further comment at this stage.”




Moja ya mastaaa waliomlilia ni Sir Elton John aliyeweka picha yake kwenye Instagram na kuandika: I am in deep shock. I have lost a beloved friend – the kindest, most generous soul and a brilliant artist. My heart goes out to his family and all of his fans.”

Michael, aliyezaliwa kwa jina la Georgios Kyriacos Panayiotou, kaskazini mwwa London, ameuza zaidi ya nakala milioni 100 katika maisha yake ya muziki. mnamo miaka ya 1980 alianza muziki akiwa na kundi la WHAM akiwa na rafiki yake Andrew Ridgeley, na walifanikiwa kurelease hits kali kama “Last Christmas,” “Wake Me Up Before You Go-Go” na “Careless Whisper.” Wham In Australia: Andrew Ridgeley and George Michael performed as Wham! in Sydney on Jan. 27, 1985. 
 Andrew Ridgeley na George Michael  {Wham!} wakiwa katika show yao mjini Sydney mnamo Jan. 27, 1985.

No comments: