ADVERTISE WITH US

Maboresho mengine yaliofanyika kwenye mtandao wa Instagram

Instagram

Kadri sayansi na teknolojia inavyozidi kukuwa ndivyo hata mitandao ya kijamii inavyoboreshwa kila siku, Instagram imeingia kwenye headlines ambapo December 6 2016 imefanyiwa maboresho zaidi ambapo awali mtu alikuwa anaweza  ku-comment kwenye picha ya mtu na bila kuwa na uwezo wa ku-like

Lakini kwa sasa unapo-comment kwenye picha ya mtu yule mwenye picha yake anaweza kujibu na ku-like comment hiyo tofauti na ilivyokuwa zamani mtu anaweza kujibu comment kwa ku-comment. Huu ni mfano wa maboresho hayo yanavyoonekana kwa sasa.
pia wameongeza na LIVE  yaani waweza kuonyesha nini unafanya kwa mda huu kama inavyoonekana katika picha hii hapa chini.instagram-direct-ephemeral
tazama mfano wa video

Instagram Direct Ephemeral



No comments: