ADVERTISE WITH US

FORBES: TAYLOR SWIFT NDIYE MSANII MWENYE PESA KWA MWAKA HUU

 Tokeo la picha la forbes magazine cover
Kwa mujibu Forbes, Taylor Swift ndiye mwanamuziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka huu. Amewapiga bao wanaume wote wanaofanya muziki duniani.

Katika kipindi cha June 1, 2015 hadi June 1, 2016 — Swift ameingiza takriban dola milioni 170. Fedha nyingine ilipatikana kutokana na ziara yake ya 1989 na matangazo mbalimbali.
Chini ni orodha nzima:
taylor-swift-presenting-jpg
Taylor Swift – $170 million
Tokeo la picha la one direction
One Direction – $110 million
Tokeo la picha la adele
Adele – $80.5 million
Tokeo la picha la madonna
Madonna – $76.5 million
Picha inayohusiana
Rihanna – $75 million
Tokeo la picha la Garth Brooks
Garth Brooks – $70 million
Tokeo la picha la AC/DC
AC/DC – $67.5 million
Tokeo la picha la Rolling Stones
Rolling Stones – $66.5 million
Tokeo la picha la Calvin Harris
Calvin Harris – $63 million
Tokeo la picha la diddy

Diddy – $62 million

No comments: