ADVERTISE WITH US

Rais wa Chad aondoka Dar baada ya ziara ya siku 2


Rais wa Chad, Idriss Deby ameondoka jijini Dar es Salaam kuelekea nchini kwake. Alisindikizwa kwenye uwanja wa ndege wa JKIA na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
rg1a4280
Rais huyo aliwasili nchini kwa ziara kikazi ya siku 2 akiwa na mkewe Mama Hinda Deby na alipokelewa na mwenyeji wake Rais Magufuli na kisha kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na wananchi.
Rais Magufuli alifanya mazungumzo na Rais Idriss Deby Itno Ikulu Jijini Dar es Salaam.
rg1a42581
rg1a42401
rg1a42721
rg1a42821
SOURCE BY+Bongo5 TV 
PICHA: OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments: