Drake sasa ameonekana zaidi kwenye chati za bilboard kuliko The Beatles.Kama solo artist hajawa na wimbo ulioshika namba moja kwenye bilboard hot 100 ila anaongoza kwa kuwa na nyimbo zilizoshika namba moja zaidi kwenye chati za Bilboard hot rap songs ata kuwashinda wasanii kama Jay z,Lil Wayne na Kanye West.
Ila kwenye chati za bilboard hot 100 bada yupo chini ya Jay Z na Lil Wayne na wasanii wengine wenye nyimbo nyingi zaidi kwenye chati hizo kama Elvis, James Brown, Ray Charles, Aretha Franklin na Glee ambao ndio wanaongoza kwa kuwa na nyimbo 207 kwenye chati hio.



No comments:
Post a Comment